Mabati ya Lodhia ni mabati ya kitanzania ambayo ni Imara, yenye Ubora wa hali ya juu na yameundwa kustahimili na kudumu katika misimu yote (Mvua, Jua na Upepo Mkali) na kuipa nyumba yako muonekano wa Kisasa na wa kuvutia.
Mabati ya Lodhia yanafaa kwenye Nyumba/Makazi, Shule, Majengo na Miradi Kibiashara.
Kwa mahitaji ya Mabati Tanzania, Chagua Mabati ya Lodhia.

Ni Mabati ya Migongo midogo yaliyotengenezwa kwa Ubora wa hali ya juu, na kupakwa rangi ya Aluminium na Zinki. Yanafaa zaidi kutumika katika maeneo yanayopakana na Bahari na katika Viwanda.
Yanapatikana katika Migongo 10 (Aluzinki Bora) na Migongo 11(Aluzinki Almasi)

Ni Mabati ya Migongo midogo ya Rangi, ni Imara yanaostahimili mabadiliko ya hali ya hewa, na kukinga dhidi ya miale mikali ya Jua. Pia yanapendeazesha muonekano Nyumba/ Jengo lako.
Yanapatikana katika rangi Tisa (9) tofauti: